Dero Royal Hotel Sumbawanga tuna vyumba vizuri na vya kisasa vinavyoendana na thamani ya Pesa ya mteja wetu.
Dero Royal Hotel tunatoa huduma ya Vinywaji vya aina zote, Vigumu pamoja na laini
Mlete mwanao Dero Royal Hotel aweze kuburudika kwa michezo mbalimbali ambayo itamsaidia kuchangamsha mwili na kuongez…
Dero Royal Hotel tuna Mandhari nzuri kwaajili ya Picha mbalimbali za kumbukumbu kama vile Harusi, Send Off na Birthday
Karibu leo Dero Royal Hotel Sumbawanga ufurahie Breakfast, Lunch na Dinner kutoka kwa wapishi wetu waliobobea kwenye f…